Recent content by caleb

  1. C

    PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA: UTARATIBU WA KUPATA MRITHI WAKE

    KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani PAPA Francis ameaga dunia leo katika Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88. Kwa mujibu wa Vatican, Papa amefariki asubuhi ya saa 1.35 za Italia. Kwa mujibu wa historia na mapokeo, hadi Papa Francis anaaga dunia, Kanisa Katoliki limeongozwa na mapapa...
  2. C

    WIMBO WA AFRIKA MASHARIKI

    Maneno ya KiswahiliManeno ya Kiingereza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio: Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu. Uzalendo pia mshikamano Viwe msingi wa Umoja...
  3. C

  4. C

  5. C

    MUNGU IBARIKI AFRIKA

    1. Mungu ibariki Afrika Wabariki viongozi wake Hekima, Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake KIITIKIO: Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika 2. Mungu ibariki Tanzania Dumisha Uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu ibariki Tanzania na watu wake...
  6. C

    TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

    1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. 2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini, Kutazama maajabu, biashara nayo makazi, Sitaweza kusahau mimi...
  7. C

    TAZAMA RAMANI SOMG

    1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2. 2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini, Kila mara niwe kwako...
  8. C

    PENATI ZOTE ZA SIMBA VS AL MASRY (2025-04-09)

    Tazama PENATI zote za Simba dhidi ya Al MASRY.
  9. C

    MBONGO MJANJA NA MZUNGU

    Umeona eeeh!!🤪
  10. C

    Historia Ya chama Cha Mapinduzi

    Kidumu chama Cha mapinduzi, ila muwaondoe mafisadi waliomo ndani yenu.
  11. C

    Historia ya chadema tangu kuanzishwa

    Asante kwa HISTORIA nzuri
  12. C

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran:

    Ukweli ni kwamba USA Bado ni kiranja wa dunia
  13. C

    MBONGO MJANJA NA MZUNGU

    Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege wakakaa siti moja... Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita...
  14. C

    Ukiwa na Mtoto huyu! una hasara.

    Mtoto mmoja alipelekwa Hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- "Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mara 2 kwa siku 30.
  15. C

    PADRI KAJIONGEZA 😄😄

    Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisani peke yake. Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wa pili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaanza kuungama {confess} "Padri nimekuja kuungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana." Padri, "Endelea..." "Bosi wangu...
Back
Top