Recent content by prosper

  1. prosper

    DIY, CRAFT OR HOBBY?

    Many people consider it a hobby, a contagious and widespread passion in which everyone, young or old, tries their hand at one time or another, but there are also those who consider it a job and, as a matter of fact, by definition, it really is. DIY, as described in the dictionary, is manual...
  2. prosper

    😄🤪 TFF NA BODI YA LIGI WAFUTA MATOKEO YA SIMBA (NI UTANI TU 😃😃😂😂)

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  3. prosper

    Historia Ya chama Cha Mapinduzi

    Umenena vyema, Magufuli aliwaondoa mafisadi wengi CCM na Tanzania tukaona maendeleo makubwa mno kwenye kipindi chakw. Pia hongera kwa kujifunza historia, lakini usiishie hapa tu Bali jifunze pia na HISTORIA ya vyama vingine pia mfano CHADEMA, CUF, ACT, n.k. Ni muhimu kujua chanzo, itikadi...
  4. prosper

    Historia ya chadema tangu kuanzishwa

    Hongera kwa kujifunza, usiishie hapa tu Bali jifunze pia na HISTORIA ya vyama vingine pia mfano CCM, CUF, ACT, n.k. Ni muhimu kujua chanzo, itikadi, ilani na malengo ya vyama, hii itakufanya mpiga kura ufanye uchaguzi sahihi.
  5. prosper

    Watano wafikishwa mahakamani kwa kukwepa kodi Kagera

    Nyerere aliwajengea babu zetu walijengewa uzalendo tangu utoto wao, tatizo kuanzia tulivyouruhusu ubepari mpaka leo, basi tuliacha kabisa kuwafundisha watoto wetu uzalendo. Leo hii Tanzania, mtu anaiibia serikali yake na anaoneana kuwa ni mjanja, na asilimia kubwa ya jamii inamsifia mwizi huyo...
  6. prosper

    BUWASA yafikisha huduma ya maji mjini 93%

    Umenena vyema, tusije tukamsifia sana mgema halafu tembo akalitia maji.
  7. prosper

    Nawezaje kupata mikopo ya vijana na wanawake

    Usiogope tabitha, ukitimiza nyaraka zote, sasa hivi wako fasta sana
  8. prosper

    Ukraine Lost Too Many Tanks In Kursk

    That's also what we all want except for the European Union (EU), they are the only agency which wants to prolong this deadly war.
  9. prosper

    JINSI YA KUPIKA PILAU YA NYAMA YA NG’OMBE (#beefpulao)

    Wacha weeee, usisahau tu kutukaribisha😄
  10. prosper

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran:

    Ni kweli ila kwa sasa hayupo peke yake Bali pia yupo China na Urusi nao pia ni viranja, kiufupi now tunaishi kwenye multipolar world.
  11. prosper

    VERY POWERFUL WORDS

    I'm glad you find it powerful too
  12. prosper

    Ahmed afunguka A-Z Faida za Simba Wese

    Angalau umewapongeza, huu ndio tunauita uzalendo, pale linapofanyika jambo zuri basi tunalipongeza hata kama aliyefanya ni mpinzani wa jadi
  13. prosper

    JOHN POMBE MAGUFULI (RAISI WA TANZANIA)

    Mhe. Dkt. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John P. Magufuli alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato Mkoa wa Kagera ambayo hivi sasa ipo Mkoa wa Geita. Dkt. Magufuli amemuoa Mwalimu Janet na wamejaliwa kupata watoto. kazi Harakati zake za kisiasa zilianza mwaka...
  14. prosper

    JE, KANISA NI NINI?

    Kanisa maana yake ya kwanza kabisa ni "mkusanyiko wa waamini" kama ule wa Waisraeli chini ya Musa kwenye mlima Sinai walipopewa Amri za Mungu. Mozaiki ya ujio wa Roho Mtakatifu, Kanisa kuu la Saint Louis, Marekani. Pentekoste inahesabiwa kuwa siku ya Kanisa la Kikristo kuzaliwa kwa ajili ya...
Back
Top