Search results

  1. prosper

    DIY, CRAFT OR HOBBY?

    Many people consider it a hobby, a contagious and widespread passion in which everyone, young or old, tries their hand at one time or another, but there are also those who consider it a job and, as a matter of fact, by definition, it really is. DIY, as described in the dictionary, is manual...
  2. prosper

    😄🤪 TFF NA BODI YA LIGI WAFUTA MATOKEO YA SIMBA (NI UTANI TU 😃😃😂😂)

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  3. prosper

    JOHN POMBE MAGUFULI (RAISI WA TANZANIA)

    Mhe. Dkt. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John P. Magufuli alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato Mkoa wa Kagera ambayo hivi sasa ipo Mkoa wa Geita. Dkt. Magufuli amemuoa Mwalimu Janet na wamejaliwa kupata watoto. kazi Harakati zake za kisiasa zilianza mwaka...
  4. prosper

    JE, KANISA NI NINI?

    Kanisa maana yake ya kwanza kabisa ni "mkusanyiko wa waamini" kama ule wa Waisraeli chini ya Musa kwenye mlima Sinai walipopewa Amri za Mungu. Mozaiki ya ujio wa Roho Mtakatifu, Kanisa kuu la Saint Louis, Marekani. Pentekoste inahesabiwa kuwa siku ya Kanisa la Kikristo kuzaliwa kwa ajili ya...
  5. prosper

    JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA.

    Nyumba ya gharama nafuu ni dhana ambayo watu wengi sana wamekuwa wakiifikiria na kwa kutumia hisia watu wamekuwa wakiamini kwamba inawezekana kuna muujiza fulani wa kujenga nyumba kwa gharama nafuu kwa kutumia mbinu fulani fulani ambazo pengine zipo. Japo dhana hii ya “gharama nafuu” ipo jumla...
  6. prosper

    Mambo Ya Kuzingatia Kwenye Ujenzi Tanzania

    Mambo ya kuzingatia kwenye ujenzi wa nyumba Tanzania ni muhimu kuyajua kwasababu Nyumba ni hitaji muhimu kwa watu wote. Kila mmoja anatamani na ana ndoto za kununua au kujenga nyumba nzuri na ya kisasa. Ni kweli kuwa ujenzi wa nyumba unahitaji rasilimali nyingi hasa fedha. Pamoja na gharama...
  7. prosper

    TUJIFUNZE PAMOJA KUHUSU UJE ZI WA NYUMBA

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  8. prosper

    MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (RAISI WA TANZANIA)

    Wasifu MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MAISHA YAKE Mhe. Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja. Ameolewa na Bw. Hafidh Ameir na wamejaaliwa watoto wanne, watatu wa kiume na mmoja wa kike. ELIMU NA...
  9. prosper

    Kocha Yanga aichimba mkwara Tabora United

    Picha: Mtandao Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ni kama ameicbhimba mkwara klabu ya Tabora United kwa kuweka wazi kuwa ni lazima wawafunge kwenye uwanja wao wa nyumbani hapo kesho. Kocha huyo amesema kuwa macho ya wanachama na mashabiki wote wa Yanga yapo kwa...
  10. prosper

    VERY POWERFUL WORDS

    God is wonderful, just believe He is doing something good in you.
  11. prosper

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran:

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran: "Mheshimiwa Ayatullah Khamenei, Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali na miaka ya migogoro na kutoelewana ambayo tumeshuhudia katika miongo kadhaa iliyopita. Wakati...
  12. prosper

    Ahmed afunguka A-Z Faida za Simba Wese

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewasisitiza Wanachama wa Klabu wanaomiliki vyombo vya moto kuweka mafuta katika vituo vya Lake Energies kwakuwa kila lita moja wanayojaza klabu inapata asilimia ya mapato. Ahmed amesema kwenye vituo vyote vya Lake Energies ukijaza mafuta kwa...
  13. prosper

    Historia ya chadema tangu kuanzishwa

    Chadema, au Chama cha Demokrasia na Maendeleo, ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chama hiki kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa waziri wa fedha katika miaka 1977 hadi 1979. Chadema imekuwa na historia ndefu ya mapambano na mageuzi ya...
  14. prosper

    Historia Ya chama Cha Mapinduzi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Chama kikubwa zaidi, kikongwe, chenye nguvu na mvuto barani Afrika, kinachoongoza kwa kuwa na Wanachama zaidi ya millioni 12. Ni Chama kiongozi cha ukombozi kilichoshiriki kupigania uhuru nchi nyingi zilizokusini mwa jangwa la sahara. Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  15. prosper

    BUWASA yafikisha huduma ya maji mjini 93%

    MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) mkoani Kagera imeendelea kutekeleza miradi ya maji ambapo hadi kufikia Desemba 2024 upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa Bukoba mjini ni Asilimia 93. Mamlaka hiyo imepanua huduma zake katika baadhi ya miji midogo mkoani humo ya...
  16. prosper

    Watano wafikishwa mahakamani kwa kukwepa kodi Kagera

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kagera imewafikisha Mahakamani wafanyabiashara watano na kuwafungulia mashtaka tisa ya uhujumu uchumi ikiwemo kukwepa kulipa kodi zaidi ya shilingi milioni kumi na kutengeneza pombe kali bila kuwa na leseni. Washtakiwa hao wamefikishwa katika mahakama ya...
  17. prosper

    Mazungumzo ya Marekani, Urusi na Ukraine mjini Riyadh: Ni nini kinachojulikana hadi sasa?

    Chanzo cha picha,Getty Images Mkutano kati ya ujumbe wa Marekani na kundi la wapatanish wa Urusi wa mpango wa kusitisha mapigano nchini Ukraine ulifanyika mjini Riyadh. Wamarekani walifanya mazungumzo na ujumbe wa Kyiv siku ya Jumapili. Kama ilivyotangazwa, wajumbe wote watatu hawakukusanyika...
  18. prosper

    Miaka 60 ya uhuru: Matukio na mambo yaliyoijenga Tanzania ya leo

    Chanzo cha picha,Maktaba Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaendeleo kulinganisha na wanyama wengine. Sababu anazotoa ni mbili tu; uwezo wa kushirikiana kufanya kazi kwa idadi kubwa na kwa maelewano...
  19. prosper

    Hizi Ndizo Hazina Saba (07) Muhimu Katika Maisha Ya Ndoa.

    Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji? Natumaini ni buheri wa afya kabisa. Mpendwa msomaji, napenda kukualika katika makala hii ya leo ili tuweze kujifunza kwa pamoja. Mtu pekee unayeweza kumbadilisha na kumuongoza kama vile unavyotaka wewe ni wewe mwenyewe na wala siyo mwenza wako au...
  20. prosper

    LET'S UNDERSTAND MORE ABOUT TENNIS GAME

    Tennis is a racket sport that is played either individually against a single opponent (singles) or between two teams of two players each (doubles). Each player uses a tennis racket strung with a cord to strike a hollow rubber ball covered with felt over or around a net and into the opponent's...
Back
Top