Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta
- ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa
- AFANDE: Kha! kisa mkasa mpk akafanya hivyo
- ASKARI: Mama mwenye nyumba alikua anapiga deki mumewe akaingia ndani viatu kabla sakafu haijakauka
- AFANDE: Sasa mmesha mkamata huyo mwanamke
- ASKARI: Bado mkuu
- AFANDE: Kha! sasa mnangoja nini
- ASKARI: Si tunangoja sakafu ikauke