Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason.
- Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!"
- Jason: "Ndio mkuu!"
- Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason..
- Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol"
- Dokta: "Safi sana na wapili?"
- Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl"
- Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je?
- Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume!
- Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?"
- Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"