πŸ˜„πŸ€ͺ TFF NA BODI YA LIGI WAFUTA MATOKEO YA SIMBA (NI UTANI TU πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚)

prosper

Administrator
Staff member
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2

Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi

Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe wakati alimiliki mipira 58%

Sababu nyingine ni kuwa Simba alinyimwa penalties 3 kwenye huo mchezo na wazee wa Simba waliitisha mkutano na kutishia kumuua mwamzi

V.A . R iliwabeba Waarabu

Pia GSM amethibitika anadhamini waarabu na pia bahasha walipewa waamzi na kipa wa Simba Camara alipata bahasha yake
1743858820276.jpg
 
Back
Top