HII COMEDY IKO POA!!

caleb

Member
FUNNY: Cheka unenepe
  • Polisi::: hodi, hodi
  • Jamaa::: kimya
  • Polisi::: hodi, hodi
  • Jamaa::: we nani kwani?
  • Polisi::: sisi polisi
  • Jamaa::: mnataka nini?
  • Polisi::: kuongea na wewe
  • Jamaa::: kuongea na mimi?!
  • Polisi::: ndio
  • Jamaa::: mko wangapi?
  • Polisi::: tuko watatu
  • Jamaa::: kama mko watatu si muongee wenyewe...!!!
 
Back
Top