You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
- Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
- Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
- Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
- Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
- Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
- Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
- Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
- Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
- Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
- Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.