TAMAA MBAYA

caleb

Member
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
  • JAMAA: Shem nakupenda!
  • MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma!
  • JAMAA: Ntakupa milioni 1!
  • MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!
  • Kesho yake Jamaa kaja na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake, jioni ilipofika
  • Mume akarudi home na kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?"
  • MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"
  • MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!
  • Mke hoi mzgo umeliwa bure......
 
Back
Top