MBONGO MJANJA NA MZUNGU

caleb

Member
Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege wakakaa siti moja...

Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!,

Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=.

Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?

Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.

Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani kikienda juu kina miguu minne na kikirudi chini kina miguu mitatu?

Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa 100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua, akauliza ni nini hicho?
Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye hajui!.
 
😂😂😂 Kampatia kwelikweli
 
Back
Top