BOSI NA SEKRETARI WAKE 😂

caleb

Member
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.

SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.

MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.

MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako.....

BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.

SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena

MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi, huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.

MWANAFUNZI: darling tution inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!

BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya Serena iko palepale......
 
Back
Top